MAKUNDI MBALIMBALI YA JAMII YAMEJENGEWA UWEZO JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU MA MAKAZI YA MWAKA 2022

 Na Pendo Mkonyi, Arusha.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaituni Swai amesema kuwa, Takwimu za matokeo ya Sensa ya watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022, yatawawezesha viongozi na watalamu wa mkoa huo, kupanga mipango thabiti ya utekelzaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 iliyozinduliwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mwishoni mwa wiki iliyopita.

Pichani ni Mbunge wa viti maalum mhe Zaituni Swai

Mhe. Zaituni ameyasema hayo, kwenye mkutano wa Mafunzo ya Mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 kwa viongozi wa makundi mbalimbali ya kijamii, mkoa wa Arusha, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa AIM MALL Jijini Arusha leo tarehe 11 Desemba, 2023.

Amesema kuwa, matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yalikuwa ni ya Kisayansi zaidi livha ya kuonesha I bdadi ya watanzania ni milioni 61 huku Idadi ya watu katika mkoa wa Arusha wamefikia 2, 356, 255, ameongeza kuwa takwimu hizo zimeenda mbali zaidi yakionyesha idadi na hali yakuonyes, mpaka hali ya udumavu, idadi ya vituo vya kutolea huduma za kijamii,  pamoja na idaidi ya  vyoo bora.

Kupitia matokeo hayo, utawawezesha viongozi na watalamu wa mkoa wa Arusha kupanga mipango,  itakayokwenda kutekeleza Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050, Dira ambayo imezinduliwa na Mhe. Rais wetu.

Aidha amewataka viongozi ha watalamu waliohudhuria mafunzo hayo, kusikiliza kwa makini ili kuwa na uelewa wa pamoja juu ya usambazaji na matumzi ya Takwimu hizo muhimu kwa ngazi zote kuanzia mtu mmoja mmoja, wilaya,  mkoa na hadi Taifa.
Mkutano huo umefunguliwa na Katibu Tawala Msaidizi Utumishi na Rasilimali Watu, mkoa wa Arusha, David Lyamongi kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, ukiwa na lengo la kuyajengea uwezo makundi mbalimbali ya kijamii juu ya matumizi sahihi ya matokeo ya Sensa ya watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022.
Makundi hayo ni pamoja na viongozi wawakilishi wa wananchi, viongozi wa Siasa, dini na mila, Watendaji wa mkoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, watendaji wa kata, kamati ya Sensa Mkoa pamoja na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo watu wenye mahuitaji maalum.

Mkoa milioni 5.4 Arusha milioni 2.4 halmashauri za mkaoa wa Arusha na halmashauri inayoongozwa Kwa idadi ya watu wengi ni halmashauri ya jiji la Arusha 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi - CCM Mkoa wa Arusha, akizungumza wakati wa mkutano wa Mafunzo ya Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 kwa makundi mbalimbali ya kijamii mkoa wa Arusha, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa AIM MALL Jijini Arusha leo tarehe 11 Desemba, 2023.
Pichani ni mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Mkoa wa Arusha Bwana Sabaya.

Mwenyekiti Sabaya, amewataka washiriki wote kuzingatia maelekezo yatakayotolewa na wawezeshaji wa Mafunzo hayo, ili yaweze kuwasiadia namna bora ya matumizi ya Takwimu za matokeo ya Sensa ya Watu ma Makazi ya mwaka 2022.
Adha, amebainisha kuwa, wao kama viongozi wa chama, matokeo hayo ya Sensa, ni muhimu katika kupanga mipango, kufamya ufuatiliaji pamoja na tahmini katika utekelezjai wa ilani ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha na Taifa. 

Hata hivyo, Mkutano huo umefunguliwa na Katibu Tawala Msaidizi Utumishi na Rasilimali Watu, mkoa wa Arusha, David Lyamongi kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, ukiwa na lengo la kuyajengea uwezo makundi mbalimbali ya kijamii juu ya matumizi sahihi ya matokeo ya Sensa ya watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022.


Awali, Makundi hayo ni pamoja na viongozi wawakilishi wa wananchi, viongozi wa Siasa, dini na mila, Watendaji wa mkoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, watendaji wa kata, kamati ya Sensa Mkoa pamoja na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo watu wenye mahuitaji maalum.

Comments

Popular posts from this blog

SHULE YA MCHEPUO WA KIINGEREZA RITALIZA MKOANI KILIMANJARO YATANGAZA DIRISHA LA UDAHILI KWA MADARA YA AWALI NA MSINGI

MZALIWA WA KWANZA WA NABII MKUU GEOR DAVIE AZIKWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

CHUO CHA OLOKII CHATANGAZA DIRISHA LA UDAHILI KWA WANAVYUO KWA MWAKA 2023/2024.